Serikali imesema tatizo la umeme kukatika mara kwa mara lililojitokeza siku za kariubini ni kutokana na matengenezo yanayofanyika kwenye vituo vya kufulia umeme
Waziri wa Nishati na madini amesema kufikia Desemba mwaka huu tatizo hilo litakuwa limeisha kwa kuwa mitambo yote itakuwa imekarabatiwa
Pia amewaonya wakandarasi waliopewa mradi wa REA awamu ya tatu wahakikishe kufikia mwezi Desemba wawe wameanza kazi baada ya kujiridhisha na uzalishaji wa transfoma katika kiwanda cha Tana Lake
Mahitaji ya transfoma kwa mwaka ni 600 na kiwanda hicho kinazalisha transfoma 10,000 kwa mwaka na hivyo kuwa nauwezo wa kuhudumia soko la ndani na la nje .kwa habari nyingine zaidi usiache kutumbelea joelcustomer blog.com

No comments:
Post a Comment