Leo katika sherehe za madhimisho ya miaka 56 ya uhuru yaliyofanyika kitaifa mkoani dodoma rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr Magufuli akiongea na wananchi amesamehe maelfu ya wafungwa zaidi ya elfu nane akiwemo babu SEYA na MWANAE akiagiza waachiwe kuanzia sasa
No comments:
Post a Comment