Karibu Sana Katika Blog Yako Pendwa ya JoelCustomer Kisima Cha Elimu Dunia,Habari na Burudani.

Thursday, 30 November 2017

HII HAPA RATIƁA NZIMA YA MICHUANO YA CHALLENGE

Makundi 2017 Cecafa Challenge Cup
Kundi A: Kenya, Libya, Rwanda, Tanzania, Zanzibar.
Kundi B: Uganda, Zimbabwe, Burundi, Ethiopia, South Sudan.
Ratiba ya michuano hiyo mwaka huu ni kama ifuatavyo:
Desemba 3, 2017
Kundi A
Libya vs Tanzania
Kenya vs Rwanda
Desemba 4, 2017
Kundi B
Burundi vs Ethiopia
Uganda vs Zimbabwe
Desemba 5, 2017
Kundi A
Zanzibar vs Rwanda
Kenya vs Libya
Desemba 6, 2017
Kundi B
Sudan Kusini vs Zimbabwe
Uganda vs Burundi
Desemba 7, 2017
Tanzania vs Zanzibar
Rwanda vs Libya
Desemba 8, 2017
Kundi B
Sudan Kusini vs Ethiopia
Zimbabwe vs Burundi
Desemba 9, 2017
Kundi A
Rwanda vs Tanzania
Kenya vs Zanzibar
Desemba 10, 2017
Kundi B
Sudan Kusini vs Burundi
Ethiopia vs Uganda
Desemba 11, 2017
Kundi A
Libya vs Zanzibar
Kenya vs Tanzania
Desemba 12, 2017
Kundi B
Uganda vs Sudan Kusini
Zimbabwe vs Ethiopia
Desemba 13, 2017
Mapumziko
Desemba 14, 2017
Nusu fainali 1 (Mshindi Kundi A vs Mshindi wa pili Kundi B)
Desemba 15, 2017
Nusu fainali 2 (Mshindi Kundi B vs Mshindi wa pili kundi A)
Desemba 16, 2017
Mapumziko
Desemba 17, 2017
Mshindi wa Tatu & Fainali

No comments:

Post a Comment